ICC YAMFUNGIA NAHODHA WA KRIKETI WA PAKISTAN SAFRAZ KWA UBAGUZI WA RANGI
.
Nahodha wa timu ya taifa ya Kriketi ya Pakistan, Safraz Ahmed amefungiwa kwa michezo minne baada ya kukiri kutumia maneno ya kibaguzi dhidi ya mchezaji wa Afrika Kusini, Andile Phehlukwayo.
Kwa mujibu wa Baraza la Kimataifa la Kriketi (ICC) limesema Sarfraz amevunja kanuni ya kupiga vita ubaguzi kwenye mechi ya kiamataifa ya siku moja iliyochezwa Durban Afrika Kusini.

ليست هناك تعليقات