TANZIA: Kocha Ligi Kuu Apata Msiba
Tanzia;
Uongozi wa Ruvu Shooting unasikitika kuwajulia wanafamilia wa soka nchini, na kwingineko kwamba, Kocha wao Mkuu Abdulmutiki Haji Kiduu leo, January 27, 2019, saa 6.00 mchana amefiwa na mwanaye wa kike, mwenye umri wa miaka 18 kutokana na tatizo la uzazi.
Mungu awafariji ndugu, jamaa na marafiki wa Kocha Kiduu, kipindi hiki kigumu cha maombolezo.
AMEN.
Imetolewa na Masau Bwire msemaji wa klabu hiyo .

No comments