Wababe Was Singida United Waiondosha Simba Sportpesa Huku Wababe was Yanga Wakiwaondoa Mbao Fc.
Mechi hiyo ya nusu fainali ya kwanza ulikuwa n baina ya Bandari ya Kenya na Simba ambao mpaka dakika 90 mchezo huo unamalizikaBandari walifanikiwa kutinga hatua ya fainali.
Ikumbukwe kuwa Bandari Fc ilitinga nusu fainali baada ya kuwaondosha Singida United.
Aidha katika hatua nyingine wawakilishi wengine was Tanzania katika michuano hiyo ya Sportpesa, Mabo Fc wameondoshwa na wababe wa Yanga Kalibang Sharks kwa mikwaju ya penati 6-5 Mara baada ya dakika 90 kutamatika bila mbabe.

No comments