Breaking News

Breaking News: Ruge Mutahaba Afariki Dunia Usiku huu

Mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amefariki dunia usiku huu Februari, 26 akipatiwa matibabu nchini Afrika Kusini

Kutokana na taarifa hiyo ya majonzi mh Rais wa Jamhuri wa Tanzania,  John Pombe Magufuli ameandika ujumbe huu kupiyia ukurasa wake wa twitte.   


 Nimepokeakitiko taarifa za kifo cha kijana wangu Ruge Mutahaba. Daima nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa ktk tasnia ya habari, burudani, na juhudi za kujenga fikra za maendeleo kwa vijana. Poleni wanafamilia,ndugu,jamaa na marafiki. Mungu amweke mahali pema, Amina.

No comments