Breaking News

Ligi Kuu Tanzania Bara Kuendelea Leo.



Ligi kuu soka Tanzania bara kuendelea kupigwa leo, 
Lipuli FC na Simba SC, wameshakutana mara tatu, katika mara tatu zote wametoka sare,leo watakutana katika dimba la Samora huku wakata miwa wa turiani Morogoro watakuwa katika dimba la Manungu kuwaalika Coastal Union
No photo description available.

No comments