Makonda Amtembelea Pascal Cassian
Mh paul Makonda alijitolea kumpatia matibabu msanii huyo hasa baada ya msanii huyo nafamilia yake kuomba msaada kwa watu mbalimbali kuwapatia pesa kwa ajili ya matibabu.
Hata hivyo Mh paul Makonda anasema kuwa madaktari wametoa matumaini ya kupona kwake na kusema kuwa kila kitu kinawezekana hasa baada ya kupata vipimo vyae vyote vya ugonjwa anaoumwa.

No comments