DPP AKIZUNGUMZIA MALALAMIKO YA MUSA ADAM SADIKI KUBAMBIKIZIWA KESI YA MAUAJI TABORA
Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini Bw.Biswalo Mganga akisikiliza maswali kutoka kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipofanya mkutano na waandishi wa habari juu ya malalamiko ya Musa Adam Sadiki ya kubambikiziwa kesi ya mauaji katika mahakama ya Tabora. Kulia kwake ni Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Bw.Edson Makallo na Kushoto kwake ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari-MAELEZO Bi.Zamaradi Kawawa.
Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini Bw.Biswalo Mganga akisoma moja ya nakala ya mashtaka wakati akizungumzia malalamiko ya Musa Adam Sadiki ya kubambikiziwa kesi ya mauaji katika mahakama ya Tabora. Kulia kwake ni Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Bw.Edson Makallo na Kushoto kwake ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari-MAELEZO Bi.Zamaradi Kawawa. Picha na Daudi Manongi,MAELEZO
Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini Bw.Biswalo Mganga akizungumza na waandishi wa habari juu ya malalamiko ya Musa Adam Sadiki ya kubambikiziwa kesi ya mauaji katika mahakama ya Tabora.Kulia kwake ni Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Bw.Edson Makallo na Kushoto kwake ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari-MAELEZO Bi.Zamaradi Kawawa
Pata habari motomoto na za uhakika kila siku kila zinapojiri katika nyanja mbalimbali ikiwemo Siasa, Michezo, Ajira, uchumi, Mapenzi, Udaku/Umbea n.k .Kwa kudownload APP hii Bofya HAPA Kudownload. BOFYA HAPA
No comments