Kindoki alivyomuombea Kabwili aumie ili yeye aingie kuonyesha uwezo wake.
Golikipa wa klabu ya Yanga Sc Klaus Kindoki amekili kuwa ni kweli siku ya mchezo wao Yanga Sc dhidi ya Simba Sc alikuwa akiomba Mungu kwa bidii ili Golikipa aliyekuwa uwanjani Ramadhani Kabwili aumie ili yeye aingie kuchukua nafasi akaonyeshe uwezo wake
Nilikuwa nikihitaji sana kuona nikilinda goli kama golikipa wa Yanga Sc katika ule mchezo kwani nilijipanga na imani yakufanya vizur nilikuwa nayo kubwa
Kindoki amesema ni Mungu tu hakusikia maombi yake aliyokuwa akiomba.

No comments