Mkubwa Fella Awajibu Wanaomtukana Kisa Kifo cha Ruge
Mkubwa fela amefunguka na kusema kuwa watu wamekuwa wakisema hajali kitu kuhusu msiba huo bila hata kujua kuwa yeye na Ruge wametoka mbali sana na hata msiba huo umemgusa sana lakini hana cha kufanya kwa sasa kwa sababu na yeye ni mgonjwa.
katika ukurasa wake, mkubwa fella amefunguka na kusema ”

No comments