Siku ya Jumamosi ikiwa bado masaa machache kabla ya kuupokea Mwili wa Mkurugenzi wa Uzalishaji Vipindi Clouds Media, Ruge Mutahaba. Kamati ya Maandalizi chini ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa inazidi kujipanga kuupokea ugeni Mkubwa Nyumbani kwao Kiziru, Kabale – Bukoba.
Hizi ni baadhi ya Picha:
 |
| Kaburi likingoja Kumsitiri Ruge Mutahaba |
 |
Pichani ni Askofu TZA wa Clouds (mwenye kofia) akitoa ufafanuzi kuhusu jukwaa litakalofungwa eneo hilo kwa ajili ya shughuli ya kuaga
|
 |
| Pichani ni viwanja vya Gymkhana ambapo shughuli nzima ya Ibada na Kuaga itakapofanyika, kama unavyoona Kamati chini ya Mkuu wa Mkoa Kagera Tayari imefika Kuendelea kuratibu tukio |
No comments