Ratiba rasmi ya kuaga mwili wa Ruge, Dar es salaam
Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba umewasili nchini jana mchana.
Mwili wake unatarajia kuagwa leo Jumamosi, 2 Machi, 2019 katika ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar es salaam kabla ya kusafirishwa kuelekea mkoani Kagera kwaajili ya mazishi yatakayofanyika Jumatatu, 3 Machi, kijijini kwao Kiziru wilayani Bukoba.
Hii hapa ni ratiba rasmi ya kuuaga mwili wake.


No comments