Watu wasiojulikana wamechoma moto gari la aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari
Watu wasiojulikana wamechoma moto gari la aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ambaye pia ni Mkurugenzi wa kituo cha redio Bahari kinachomilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) usiku wa manane visiwani Zanzibar.


No comments