Haji Manara Akinukisha Kisa Mashabiki "Wapumbavu"
-Msemaji wa Simba SC Hajji S Manara amekanusha taarifa zinazoendelea kusambaa mtandaoni kwamba amewaita mashabiki wa Simba SC "wapumbavu" Bali yeye alitumia neno "pumbavu" kwa wale waliokuwa wanamtusi yeye na mama yake kutokana na Simba SC kufungwa .
-Manara ameahidi sh million 5 kwa MTU yeyote alitakaepost video ikimuonesha akiwatukana mashabiki wa Simba SC. Manara pia ameongeza kwa kusema hivi ata ingekuwa nani ambaye amekutusia mama yako matusi ya nguoni kwasababu eti Timu yako imefungwa ungemwita jina gani Zaidi ya Mpumbavu?

No comments