Mange Kimambi Amtolea Povu Zito Hamisa Mobetto Kisa Kuiba Mume wa Mtu
Mange Kimambi ameibuka na kumtolea Povu zito Msanii Hamisa Mobetto ambaye pia ni mdogo Wake wa hiyari Baada ya kuweka picha mtandaoni akiwa na mpenzi Wake Mpya.
Siku ya jana Mobetto aliingia kwenye vita ya mtandaoni na mrembo mwingine anayeitwa Tahiya Baada ya kumtuhumu Mobetto kwa kumchukulia mwanaume wake anayeitwa Alex.
Ili kudhihirisha kuwa Mobetto hajamuiba mwanaume bali ni Mpenzi Wake na sio wa Tahiya Hamisa aliposti picha Kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwa na bwana huyo huku akimrushia vijembe Tahiya.
Baada ya sakata Hilo Mange alimjia Mobetto na kumtaka aache kujianika na wanaume tofauti katika mitandao ya kijamii ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram alimuandikia ujumbe huu:
Anaekupenda atakwambia ukweli. Please acha huu ujinga unaouanza. Unaanza mambo ya Wema, drama za kipuuzi… . . Nobody needs to know uko na nani. Hata kama mtu amekulipua umemuibia, unajikausha but sio mapicha kama hivyo.. . . Mi naona kama hauko sawa because this is not you ðŸ˜ðŸ˜© . . Your brand is growing kwanini unaamza kuji-associate na ujinga? . . Ya Josh nilikuwa mstari wa mbele coz ilikuwa ni kwa ajili ya kazi na nilikusisitza after the video drops make it clear and open kuwa sio mtu wako but ukaacha idrag on and on. Unaanza ku-enjoy drama za kijinga. . . Alafu hivyo vitoto vya baba vya nini? You are mom of 2 huyo mtoto atakupotezea time tu na kukuongezea namba. Hivi anaweza kuwa step dad huyo? Mama Unahitaji a grown man.Kitoto kama hiko sabbau kwao matajiri basi unakulana nae kwa siri, unamlia vihela vya babake kimya kimya. Hata kama mtu amekulipua unakataa, na viapo unakula maana sio mtu wa kumwanika huyo. Kwao tu atakubaliwa kuoa mwanamke ana watoto wawili? Nope! So why umwanike mtu ambae Unajua hakuna future? Mi na kuona uko so desperate kupendwa na mwanaume openly sababu ya pain ya kufichwa uliyoipata kwa Diamond but this is damaging to you. Chill out mama, the time will come utapata the right person wa kuwekana nae open. Diamond anaendelea kudirect maisha yako bila wewe kujua. . . Sikupangiii how to live your life, na najua utanimaindi, labda hata utapingua Udada, ila utajijua mwenyewe, cha maana nimekwambia ukweli kama dada yako. Umaarufu unaanza kukupelekesha. Usipobadilika ya Wema yatakupata na wewe. Embu piga kazi achana na wanaume. Anaetaka umwanike akuoe basi. Hivi wakikuita malaya leo watakuwa wamekosea? Si wanakuhesabu Josh juzi tu leo huyu. Yap watakuhesabia mpaka Josh sababu hukutaka kuwaambia alikuwa model tu ili uendelee kuongelewa kwa drama ya kijinga. . . Huyo anaesema kaibiwa nae pumbavu tu. Jamani its 2019.Hivi bado wanawake wanagombea wanaume? Mama umeachwa, Hamisa has nothing to do with it. Eti kafanya kusudi. Kama mwenzio katongozwa akatae sababu yako ana undugu na wewe ama? We fala nini?. It’s survival of the fittest. . . . @mama_mobetto emu chukua password za social media za huyo mtoto maana anaanza ujinga.
A post shared by Mange Kimambi (@mangekimambi_) on Jan 19, 2019 at 4:57pm PST
No comments