Breaking News

WAZIRI LUKUVI ATANGAZA VITA KWA MAAFISA ARDHI.

Image may contain: 2 people, people smiling, people standing


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi akishirikiana na Naibu Waziri wake Mhe. Dkt. Angeline Mabula wataendesha operesheni kubwa ya kuwaondoa kazini maafisa ardhi wote ambao hawajaingiza viwanja kwenye mfumo wa malipo ya kodi ya ardhi Kielektroniki.

Operesheni hiyo inayoanza mwezi machi ni ya kusaka wadaiwa sugu wa kodi ya pango la ardhi ambapo Waziri Lukuvi na Naibu wake watazunguka nchi nzima kuhakikisha maduhuli ya Serikali yanakusanywa kukamilifu kwa kila mdaiwa.

No comments