Breaking News

Naanzaje Labda Kutembea na Shetta”- Lynn



Videi vixen ambaye Hivi karibuni aligeukia fani ya  Bongo fleva, Irene Godfrey maarufu kama Official Lynn amefunguka na kudai hawezi hata siku moja kutembea na msanii mwenzake Nurdin Bilal ‘Shetta.
Lynn amesemameweka hayo Baada ya tetesi zilizowahi kusambaaa kwenye Mitandao ya kijamii kuwa wawili hao ni wapenzi kutokana na ukaribu ambao wamekuwa nao sasa.

No comments