Breaking News

BARCA, MADRID HAKUNA MBABE NOU CAMP.


Miamba ya soka nchini Hispania timu za FC Barcelona na Real Madrid FC zimetoka sare ya bao moja katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Copa Del Rey uliopigwa  Nou Camp usiku huu. 

Madrid walikuwa wakwanza kupata bao mapema kupitia kwa Lucas Varquez dakika ya sita kabla ya Barca kusawazisha kupitia Malcom katika dakika ya 57 ya kipindi cha pili. 

Mchezo wa marejeano unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu Mjini Madrid wiki ijayo. 

Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Siasa Na Burudani.

No comments