Cardi B afuta ukurasa wake wa Instagram na kuwachana mashabiki wanaosema hajastahili tuzo ya Grammy

Image result for cardi b
Kabla ya kuifuta akaunti yake, aliweka video ya dakika moja ya kuwachana watu wanaodai kuwa hakustahili tuzo yake kuwa hakustahili kushinda tuzo hiyo.
Akaunti yake ina followers zaidi ya milioni 40, tazama video yake ya mwisho kuposti kwenye ukurasa wake
No comments