Breaking News

Ikulu yakanusha taarifa hii



Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa amewataka Watanzania kupuuza taarifa ya kuwa Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Balozi wa Tanzania nchini Marekani.




No comments