Jeshi La Polisi Mbeya Lashikilia Wahamiaji Haramu Kutoka Ethiopia
JESHI la polisi Mkoani Mbeya linawashikilia raia 10 wa Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini bila kuwa na kibali maalumu na hiyo ni baada ya msako uliofanywa na jeshi la polisi tarehe 19 mwezi huu katika kijiji cha Lugelele Wilaya ya Mbarali katika barabara ya itokeayo Njombe kuelekea Mbeya wakiwa wanatembea kwa miguu pasipokuwa na vibali maalumu vya kuishi nchini.

No comments