WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA PMO_00341

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali Mbunge wa Misungwi, Charles
Kitwanga ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini
Dodoma kwa matibabu, Januari 30, 2019.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Mkuu wa wilaya ya Bahi, Mwanahamisi
Mkunda ambaye anamuuguza mwanae, Tunu Kikula aliyelazwa katika hospitali
ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu, Januari 30, 2019.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
madaktari na wauguzi wa Kitengo cha Kusafisha Damu katika hospitali ya
Benjamin Mkapa jijini Dodoma wakati alipowajulia hali wagonjwa
hospitalini hapo, Januari 30, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments