KAMA MWANAUME WAKO HAKUFIKISHI EMBU MFUNDISHE NAMNA YA KUKUSHIKA!!
Utasikia mwanamke analalamika, mume wangu hanifanyii hiki' mume wangu hanifanyii kile' mume wangu hivi mume wangu vile.
Labda amesikia shughuli ambazo mashoga zake wanapewa au inawezekana labda Ana X wakE ambaye alimuacha lakini shughuli yake ilikuwa pevu.
Sasa amekutana na mshamba au mtu ambye hana maujuzi, hakuandai anaingia harakaharaka' mkavu kama nini, unajikuta badala ya furaha ni maumivu' mwanamke badala ya kusema unanyamaza na kulalamika kwa mashoga zako utafikili wao ndio watatakiwa kukufikisha.
Iko hivi sio kila mwanaume anakujua, kuna wanaojiongeza na kuna ambao wakiridhika wao tu' kafunga "hatrick" anaona kama ndiyo mtaalamu.
Sasa wanawake wengi wanaogopa kuwaambia wanaume moja kwa moja kuwa hunifikishi, wanaogopa kuonekana malaya kama akisema mbona huniandai au unaniparamiaparamia tu kindezi...
Nikweli ukimuambia mwanaume hivyo utamkata stimu na anaweza kushindwa hata kufanya kabisa na wewe' hivyo ni vyema kujifunza namna ya kumuambia mfundishe na sio nje ya uwanja, hapana bali ndani ya uwanja wakati wa mechi.
Kwanza mlazimishe kukuandaa kwa wewe kumuandaa' kama yeye anataka kuingia tu uwanjani' muambie baby ngoja nikupashepashe misuli wakati ukimuandaa kwakua yeye hakuandai basi embu lazimishia mikono yake' jijue sehemu zako zinazosisimka na kama sehemu ya maandalizi ichukue mikono yake ipeleke huko unakotaka kushikwa na hata akikushika bahati mbaya basi embu piga kelele na kuanza kunena kama mchaga aliyeona pesa' ajue kabisa kumbe huyu dawa yake ni kugusa huku' Zile hapo! Hapo Hapo!!
Sugua zaidi, fanya hivi zaidi zidisha na misuka ya nguvu.
Mwanzo utakua unaigiza lakini badala ya muda atzoea' atajua kuwa kumbe huyu anapenda kushikwa nywele' anapenda hivi na vile.
Ukiona anakushika namna ambavyo inakuboa au anafanya kitu ambacho kinakukera badala ya kukuogopa utamu basi badala ya kumuambia "Usifanye hivyo unaniumiza" basi muambie namna ya kufanya "peleka mkono wako mpka hapo, no sio hapo, zungushia kwa hapo, ndiyo hivyo hivyo, fanya na kidole vyote... Pitishia kidevu..." Sijui kama mnanipata au mtakaa tu na kulalamika kusubiri ajiongeze wakati yeye..

No comments