Breaking News

Morocco Achukua Mikoba Ya Minziri Arusha United Fc.



Baada ya kuachana na kocha Fred Minziro klabu ya Arusha United wana Utalii wamemtangaza Kocha wa zamani wa klabu ya Singida United, Hemed Morocco kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo inayoshiriki ligi daraja la kwanza (fdl) Tanzania.

Morocco anachukua mikoba hiyo ikiwqa ni siku tano tangu kutimuliwa kwa aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Minziro.

No comments