Msafara wa pili wa Simba watua Dar
Msafara wa pili wa kikosi cha Simba uliojumuisha idadi kubwa ya wachezaji wa kikosi cha kwanza umewasili leo mchana katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakitokea nchini Misri
Baada ya kuwasili wachezaji hao watajiunga na wenzao waliowasili jana kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mwadui Fc
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Alhamisi, Feb 07 kwenye dimba la Taifa ukitarajiwa kuanza saa moja jioni
Msafara wa pili wa Simba watua Dar
Reviewed by Alexander Victor
on
February 05, 2019
Rating: 5
Reviewed by Alexander Victor
on
February 05, 2019
Rating: 5

No comments