“Nakupenda Sana, Kula Ushibe Halafu Kaza Chaga”-Dogo Janja
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Abdul Chande maarufu kama Dogo Janja ameibuka na kumtumia ujumbe Mpenzi wake Mpya anayejulikana kwa jina la Linah.
Dogo Janja alitangaza kuchana na aliyekuwa mke Wake Msanii Irene Uwoya mapema mwaka jana Baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miezi kadhaa.
No comments