Breaking News

Simba SC ni Moja ya Timu 16 bora kati ya 68.



Baada ya Simba Kufungwa Mabao 5-0 na AL Ahly Mashabiki wa soka wameendelea kutoa maneno kuhusu Hatma ya Soka.

Miongoni mwa wahamasishaji wa soka wanasema "Mashabiki wa Tanzania wanapaswa kutambua kuwa CAF Champions League hushirikisha Timu 68 Kutoka Nchi 56 ambazo ni Wanachama wa CAF.

Simba SC ni Moja ya Timu 16 bora kati ya 68.

Tunavyoongea Timu 52 zimeshaaga Mashindano Mwaka huu.

Timu 16 Africa nzima ndio zinaweza Kujilinganisha na SIMBA na Kwa Africa Mashariki Kenya Uganda Rwanda Burundi Tanzania ongeza na Zambia ni timu moja tu ipo 16 Bora SIMBA ya Tanzania" Simba sc

No comments