Simba Walivyotua Airport ya Dar kwa Mafungu Mafungu, Chama, Okwi Wabaki Misri
Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa na viongozi wa timu hiyo na kocha wao Patrick Aussems wamewasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu JK. Nyerere jana Jumatatu majira ya saa nane mchana.
Lakini kubwa zaidi lililowashtua watu wengi ni jinsi ya staili waliyotumia kuwasili hapa nchini wakiwa mafungu mafungu huku wengine wakitarajiwa kuwasili leo Jumanne.

No comments