Lady Jay Dee Azua Gumzo Kipindi Hiki cha Msiba wa Ruge.
Baada ya watu kuhoji sana katika mitandao ya kijamii kwanini mwanadada Lady Jay Dee ameshindwa kufika katika msiba wa mkurugenzi wa Clouds Media baada ya msiba huo kutokea zaidi ya wiki sasa na kila mtu akiwa na masikitiko na kifo icho.
Hata hivyo baada ya kusemwa sana katika mitandao ya kijamii na watu mbalimbali, mwanadada huyo alionekana kama kuwajibu baadhi ya wanaomsema kwa kusema kuwa hajali kitu kuhusu swala hilo wala maneno yao .Na hivyo aliweka picha yake na kusema
Hata baada ya kusema hayo miaka mingi iliyopita na hata kusemwa kuwa nyimbo za mwanadada huyo hazikuwa zikipigwa katika Clouds media , bifu hilo liliendelea na hata mkurugeniz huyo amekufa mwanadada huyo hakutokea msibani.
No comments