Breaking News

Maimartha kwa Jide :-Mwanamke Bora ni Mwenye Kusamehe na Huruma





Ikiwa bado mamia ya wtau wakimzonga na kumuandama mwanadada lady jay dee huku wakikumbuka maneno yake ya mwisho aliyowahi kusema kuhsuu viongozi w Clouds media group akiwemo Ruge pamoja na mkurugenzi mwenzake Josph kusaga kuwa hatokaa kukuanyaga katika misbia yake na ndivyo alivyofanya katika siku ya msiba wa Ruge. Maimartha aliamua kuongea na mwanadada huyo kwa kumwambia kuwa alitakiwa kujifunza kukaa kimya kwa hilo.

akindika katika ukurasa wake wa instagram hasa baada ya kuona kuwa kumekuwa na muamko mkubwa wa watu wakisema na kukumbuka maneno hayo huko mwanadada huyo akionekana hayuko mwenye kujali kuhusu msiba huo, maimartha anasema kuwa yeye kama mwanamke alitakiwa kusamehe na kuyaacha hayo yapite na wala sio kuongea kama alivyoongea.


Maimartha anasema kuwa mwanamke bora n yule mwenye huruma kila siku na kusamehe na sio kukaa na kitu moyoni na kutaka kulipiza kisasi.
 

Nawaza kwa sauti♦♦♦ . Mwanamke ni Mama… . Mwanamke ni Mwalimu… . Mwanamke bora ni yule mwenye subraa… . Mwanamke mwema ni yule mwenye huruma na kusamehe…. . Tusimchezee Mungu waja….utashangaa hufanikiwi kisa roho zetu … . Kunamambo Fulani akifanya mwanamke hayampendezi kabisaaah… . Yasikuvutie matendo kama haya kamwe!….. Mwenye kumsamehe mwenzie na yeye husamehewa… . kwani kwa style hii mbinguni tusije tukawa hatukusikii hewani kama clouds FM…. . Ngoja tumuachie mungu aamue mwenyewe… . Oh Mungu baba naomba utusamehe 7×70 kwa matendo yetu ya ovyo tufanyayo sisi binaadam hapa Duniani…. . #mambomengimudamchache . Elimu dunia…

No comments