Makamu wa Rais Mama Samia Akutana na Miss World Africa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
amekutana na kusalimiana na Miss Uganda 2018 ambaye pia ni Miss World
Africa Quiin Abenakyo (kulia) wakati wa mkutano wa Africa Now Summit
2019 unaofanyika Munyonyo, mjini Kampala, UgandaPata habari motomoto na za uhakika kila siku kila zinapojiri katika nyanja mbalimbali ikiwemo Siasa, Michezo, Ajira, uchumi, Mapenzi, Udaku/Umbea n.k .Kwa kudownload APP hii Bofya HAPA Kudownload.
BOFYA HAPA
No comments