Breaking News

Picha: Rais Magufuli aongoza waombolezaji kuuaga mwili wa Ruge Mutahaba



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ameongoza Watanzania waliojitokeza kwenye viwanja vya Karimjee Dar es Salaam kuuaga mwili wa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group, Ruge Mutahaba.


No comments