Breaking News

Watano wauawa katika majibizano ya risasi



Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam limefanikiwa kuwauwa majambazi watano na kukamata watuhumiwa wa nne na kukamata silaha tano na risasi 59 katika matukio matatu tofauti kama ifuatavyo:-. 

 Mnamo tarehe 03/03/2019 majira ya saa kumi na mbili na nusu jioni huko kibaha jeshi la polisi likiwa katika ufuatiliaji kilimkata mtuhumiwa mmoja aliyejulikana kwa jina Friday Sameon (29) huyu ni askari wa jeshi la wananchi wa Tanzania kikosi cha 36 kibaha msangani na katika mahojiano ya kina askari huyo alikiri kumiliki silaha mbili kinyume cha sheria ambazo alikuwa akizihifadhi nyumbani kwa mke wake mdogo aishiye mtaa wa mgeza huko kibaha pwani aidha alikiri kuwa silaha hizo alikuwa akizitumia katika matukio mbalimbali ya kiharifu. Katika jiji la Dar es salaam na pwani.

BOFYA HAPA CHINI KUITAZAMA TAARIFA HII KAMILI..

No comments