Breaking News

Breaking News: As Monaco Yamtimua Kocha Wake Mkuu, Thierry Hanry.


AS Monaco imetangaza kuwa imeamua kumsimamisha kocha mkuu wa kikosi cha kwanza Thierry Henry Mpaka pale utakapo tolewa uamuzi wa mwisho.

Franck Passi ndiyo atakayeongoza kikosi kwa muda.

No comments