Breaking News

Chris Brown Mbaroni Kwa Kosa La Ubakaji

Chris Brown amekamatwa na polisi nchini Ufaransa kwa ajili ya uchunguzi wa tuhuma za ubakaji.

Mwanamke mmoja amemburuza Chris Brown mahakamani akidai alimbaka mnamo January 15-16 mwaka huu walipokuwa nchini Ufaransa kwenye hoteli iitwayo Le Mandarin Oriental. 

No comments