Breaking News

Hii Ndiyo Sababu Ya Darasa Kukaa Kimya

Darasa Afunguka Sababu ya Ukimya Wake

Baada ya ukimya wa zaidi ya mwaka mmoja, hatimaye msanii Darassa amefunguka kuhusu hilo.
Akizungumza na XXL ya Clouds FM amesema ukimya wake hautokani na kujiogopa mwenyewe kama ilivyokuwa ikizungumzwa watu.
“siwezi nikasema hiyo ndiyo sababu ambayo ilinifanya nikae kimya maana siwezi nikakosa
usingizi sababu ya Darassa juu ya Darassa,” amesema Darassa.

No comments