Kocha Simba Akiri Kufungwa Na Bandari Aeleza Sababu Kuu Za Kupoteza Mchezo Huo.
Kocha mkuu wa klabu ya Simba SC, Patrick Aussems amesema amefungwa na klabu ya Bandari FC ya Kenya kwenye michuano ya Sportpesa Cup kutokana na wachezaji wa klabu hiyo kuchoka kwa kucheza mechi nyingi mfululuzo bila kupumzika pia amesema Bandari ni timu nzuri ndio maana imeshinda.
Ameyasema hayo jana mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa nusu fainali ya Sportpesa ulimalizika kwa Simba kukubali kipigo cha goli 2-1

No comments