Breaking News

Yanga Yarejea Dar es salaam Ikitokea Shinyanga.

Kikosi cha Yanga Sc kimerejea salama jijini Dar es salaam jana usiku na kuingia kambini moja kwa moja tayari kwa maandalizi ya mashindano ya SportPesa Cup.


Mchezo wa kwanza wa Yanga sc  utachezwa siku ya jumanne(kesho)uwaja wa Taifa saa 10 na 15 jioni dhidi ya kariobanks sharks kutoka  Kenya.

Ikumbukwe kwamba Juzi Yanga ilipokea kipigo cha kwanza kwenye ligi kuu Tanzania Bara kutoka kwa wapiga debe wa Shinyanga "Stand United" kwa goli 1-0

No comments