 |
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad akiwa
mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge
kufuatia kauli za kudhalilisha Bunge alizozitoa akiwa nje ya nchi. |
Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali ( CAG) Profesa Mussa Assad
awasili katika Ofisi Bunge, jijini Dodoma kutii wito wa Spika Job Ndugai
aliyemtaka kufikishwa mbele ya Kamati ya Maadili, Kinga, Haki na
Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma za kukidhalilisha chombo hicho.
No comments