Breaking News

Kampeni ya ‘Usitumie Kilevi na Kuendesha Chombo cha Moto’ yazinduliwa Mwanza


Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imezindua kampeni inayolenga kutoa elimu kwa umma juu ya unywaji wa kistaarabu, ikiwa ni moja ya hatua muhimu inayochukuliwa na kampuni hiyo kuzuia ajali nyingi zinazosababishwa na madereva wanaoendesha wakiwa wametumia vilevi.

No comments