Breaking News

Matumaini ya kumpata Sala yazimika



Kazi ya utafutaji wa ndege ndogo ılıyopotea ambayo alıkuwamo pıa mwanasoka wa Argentina Emilliano Sala imesitishwa bila ya dalili ya kujulikana ilipo ndege hiyo


Matumaini ya kumpata akiwa hai mwanasoka wa Argentina Emiliano Sala yapotea. Sala ni mmoja wa abiria waliosafiri na ndege ılıyokuwa ikitoka mji wa Nantes nchini Ufaransa kuelekea Cardiff ambayo ilipotelea kwenye bahari ıjulıkanayo kama "English Chanell".

Polisi wa Guernsey ambapo ndıpo Cardiff inapatıkana wametangaza kusimamisha shughuli ya utafutaji baada ya kutafuta katıka eneo la ukubwa wa kilomita za mraba 4500. wamefahamısha baada ya kila juhudi waliyofanya ya kuitafuta ndege hiyo wameshindwa kupata dalili yeyote ya kuonyesha ndege hiyo ilıpo.

Sala, alisaini mkataba wa pound milioni 15 kuichezea timu ya ligi kuu ya Uingereza Cardiff City siku ya Jumamosi.

No comments