Breaking News

Mbosso Aelezea Daraja Linaloelea La Kiteputepu




Daraja la kiteputepu linatisha, ni refu sana, wananchi wanatumia kwa shughuli zao, watoto wanakwenda shule, pale ni kyela, kwenye lile daraja wanapita mbuzi, na kuku, huruhusiwi kupitisha ng'ombe, linayumba ila lipo very strong, lmetengenezwa vizuri sana"

Daraja hili lipo umbali wa kutembea na gari hadi dakika 30, lipo eneo la Kyela Mbeya, kwenye daraja hilo chini kuna Mamba wengi sana, haya ni kwa mujibu wa @mbosso_ mwenyewe.

No comments