Breaking News

Breaking News: Huu Hapa Uamuzi Kuhusu Mchezaji Wa Simba Ambaye AFC Leopards Walimlalamikia.











Tokeo la picha la Lamine Moro



Mara baada ya Uongozi wa AFC Leopards ya Kenya Kutuma malalamiko yake kwa mamlaka husika ikiwemo TFF kuhusu Simba SC kumtumia beki Lamine Moro wakati ni mchezaji halali wa Buildcon FC ya Zambia. Haya hapa majibu ya TFF kuhusu mchezaji huyo..

No comments