Nahodha na Mshambuliaji wa klabu ya Simba SC, John Bocco leo ameanza mazoezi na wachezaji wenzake baada ya kupona majeraha. Bocco aliumia kwenye mchezo wa kwanza wa kundi D dhidi ya JS Soaura ya Algeria.
Booco Aanza Mazoezi Simba
Reviewed by Alexander Victor
on
January 24, 2019
Rating: 5
No comments