Breaking News

29 Washikiliwa Kwa Tuhuma Za Mauaji Ya Watoto Njombe.



Serikali imethibitisha kukamatwa Kwa watuhumiwa 29 wanaosadikiwa kuhusika na mauaji ya watoto mkoani Njombe na hivyo inawashikilia  watu hao Kwa ajili ya upelelezi wa kina ili kuwabaini wote waliohusika na kuwachukulia hatua za kisheria.

Kauli hiyo imetolewa Bungeni Dodoma na Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Kangi Lugola Bungeni Dodoma kufuatia natukio ya hivi karibuni ya mauaji ya watoto hao huku wengine wakipotea na baadaye kupatikana ktk mazingira ya kutatanisha.

No comments