Breaking News

Harmonize Ajisalimisha Polisi Central Sakata la dawa za kulevya


Mwanamuziki Harmonize anashikiliwa kwa zaidi ya saa tano katika Kituo cha Polisi Central, jijini Dar es Salaam alipokwenda kujisalimisha akituhumiwa kuvuta bangi alipokuwa nchini Ghana .


Muimbaji huyo ameitikia wito wa RC Makonda, ambaye alimtaka akifika nchini achunguzwe kuhusiana na

No comments