Maiti iliyokaa Mochwari kwa zaidi ya miezi nane hatimae yachukuliwa ili kuzikwa.

Hatimaye mwili wa kijana Frank Kipange uliokaa chumba cha kuhifadhia maiti kwa zaidi ya miezi nane umechukuliwa na ndugu kwa ajili ya mazishi leo Februari 26, 2019.
Mwili huo ulikuwa Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya familia kutaka uchunguzi wa kifo chake lakini baadaye mahakama iliamuru uzikwe.



No comments