Breaking News

Ndugai ampa tano Musukuma kuondoa mshahara wa Lissu

 
BUNGENI Spika Job Ndugai amesema iko haja ya kusimamisha mishahara na malipo yoyote ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kuanzia sasa.
 
Spika ametoa Ametoa kauli hiyo ajibu muongozo ulioombwa na Mbunge wa Geita, Joseph Msukuma aliyetaka muongozo wa Spika kuhusu Tundu Lissu kuonekana katika nchi mbalimbali duniani, lakini Bunge halina taarifa kujua Lissu yuko wapi zaidi ya kumuona huko duniani akizurura.

No comments