Breaking News

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT





RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).Bi. Thuwaiba Kisasi , akiwa na Ujumbe wa Viongozi wa (UWT) Afisi Kuu ya Zanzibar,walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo.7-2-2019


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo 7-2-2019.ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa (UWT.)Bi. Thuwaiba Editon Kisasi.(Picha na Ikulu)

No comments