Breaking News

Valentine Day: Manara ataka kuwa mfano wa kuigwa



Afisa Habari maarufu hivi sasa nchini anayeiwakilisha klabu ya Simba, Haji Manara ameelezea namna anavyoisherekea sikukuu ya wapendanao (Valentine Day) inayofanyika terehe 14, Februari ya kila mwaka.


Katika kufurahia siku hiyo, Manara amewataka wapenda nao wote nchini Tanzania kutoitumia vibaya siku hiyo kwa kufanya maasi, bali waitumie kwa kufanya mambo mema.

Maneno hayo ameyaandika katika ukurasa wake wa Instagram, ambayo yanasema,

Kwa hisani ya Unde door wote nchini niwatakie usiku mwema na niwape happy valentine ila msitumie huo uvalintine kufanya maasi Niigeni mm kaka yenu kwa kutenda yalio mema na kuyakwepa yale maovu Good night and happy Valentine my people

Valentine Day ni sikukuu ambayo wapendanao ikiwemo wapenzi, wanandoa, ndugu, wazazi na marafiki hupeana zawadi mbalimbali zenye kuashiria upendo kati yao.

No comments