Yanga chupuchupu Mkwakwani
Katika mchezo huo Timu ya Coastal Union ilikuwa ya kwanza kuandika bao kupitia kwa Haji Ugando dakika ya 30 na Yanga wakasawazisha kupitia kwa Matheo Anthony dakika ya 76.
Coastal Union walikumbana na pigo kwa mshambuliaji wake Issa Abushehe kutolewa nje kwa kadi nyekundu, na dakika moja baadaye Yanga wakasawazisha

No comments